Yuko wapi huyu mtu K4life wa Mikumi

multiple

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
389
627
Habari wakuu...
Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za majanga yake ya mikumi (hahahaahah:D:D:D:D:D:D)..yan huyu bwana matukio yoote ya ajabu alishuhudia yeye.. sijamskia siku nyingi
.
Uko wapi mzee mzima K4LIFE...Zile story kunawakati tunapunguza stress zetu katika kuisoma namba .. Tunakuhitaji bhaaaana..
 
labda simba alishampitia
 
aseee kweli mkuu kapotea,anakwambia alikuwa na baiskeli sijui anatoka wap...kapita pale mikumi ati na bike aseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom