Yuko wapi Hawa Ghasia?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,491
Huyu mama alikuwa anacheza kwenye Wizara muhimu kwenye awamu ya 4 yuko wapi kwasasa? Nakumbuka licha ya kupigiwa kelele kama Waziri mzigo akiwa kama Waziri wa Utumishi, bado JK aliendelea kumuamini.
Mnaejua mje mtujuze yuko wapi kwasasa?
 
Yupo jimboni kwake anawatumikia wapiga kura wake!!
 
Ingawa ni mgunge wa jimbo la Mtwara vivijini yeye anapatikana maeneo ya Shangani karibu na stand ya dalalala ana nyumba zake kadhaa pale. Humwoni kwa sababu siyo waziri tena.
 
Back
Top Bottom