Yuko wapi Halima Mdee, Mbunge machachari wa CHADEMA?

Akikosoa wanamdis
atasema nini muache apige hela tu basi
 
Umeguatilia?
au umefuatilia?

Halafu kama unamtaka Halima,jua kuwa huyo aliuzwa na klabu yake ya huko TPL, saizi anacheza huku kwetu EPL
 
Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee.

Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha?

Jumaa kareem!
Wakati wa kikao cha bunge alisema yeye yuko CCM, hivyo nenda Lumumba utamkuta.
 
Back
Top Bottom