Wanaolewa na wazungu wana kazi sanaAliolewa na mzungu.
na wao wana life style za kizungu,nyie wakina Mwajuma ndala ndefu ndio mwaona wana kazi sanaWanaolewa na wazungu wana kazi sana
ni secretary wa January makambaHuyu mwanamama sijamsikia muda mrefu...
Nimesikia kibao chake cha Shoga hapa kikanirudisha mbali sana..
Vipi kwa sasa yupo wapi na anafanya nini?
Uzi tayari!
ni personal secretary wa January makambaAliolewa na mzungu.
Kama teja au teja?Amekuwa kama Teja
Ahahahaaah itakua jibu ni none of aboveMajibu mpaka sasa:
1. Secretary wa J. Makamba
2. Kiongozi wa tennis
3. Mke wa mzungu
4. Kama teja/teja...