Na hii story, inakumbusha maisha ya zamani.Skiza wimbooo....!
Upo tafta utaupataNa hii story, inakumbusha maisha ya zamani.
Huu wimbo YouTube video yake haipo kabisa.
Video?Upo tafta utaupata
JoslinKuna mmoja Kati ya hao ni teja namuona mchikichini kkoo Yule aliemba niiite mpz
Mm nimetoka kusikikiza hapa wimbo huu.....Huyu jamaa nakumbuka nikiwa shule olevel mwaka 2009 alitesa sana na hiki kibao chake cha Sikiliza wimbo aliomshirikisha Makamua
Enzi hizo nilikuwa napenda kuisikiliza Kiss Fm....enzi za dj maliz
Nawasilisha