Yuko wapi Dr Hilman Ngunangwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Dr Hilman Ngunangwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyamahodzo, Oct 14, 2011.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ni msomi wa masuala ya Uongozi,hata kuwa na Phd ya ukweli/jasho, Dr Hilman Ndembelwa Ngunangwa. Ambaye alikuwa Mhadhiri ktk Chuo cha MANTEP, Bagamoyo hadi 1990 alipogombea na kushinda nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe-Kusini.

  Kabla ya kushindwa kwa kuchakachuliwa na CCM+Anne Makinda 1995, itakumbukwa kuwa akiwa Bungeni, yeye alikuwa ni miongoni mwa wale Wabunge 55 walioitaka serikali ya Tanganyika irudishwe. Wabunge wengine walikuwa ni Njeru Kasaka na Pius Msekwa.

  Hadi sasa huyu Dr Ngunangwa sifahamu yuko wapi na anafanya nini. Kwa mwenye taarifa atujuze.

  NOTE: Lakini twaweza jadili nafasi ya wabunge wa G55 katika kurejeshwa kwa Serikali ya Tanganyika.
  Dr Ngunangwa aliandika kitabu cha BINGWA wa MKAKATI ULI0KUFA KABLA ya KUANZA.

  Nawasilisha.
   
 2. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2014
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,824
  Likes Received: 2,439
  Trophy Points: 280
  RIP Herman Ndembwela Ngunangwa!!Mbunge wa zamani wa Njombe Kusini
   
 3. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2014
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hatimaye jibu limepatikana,RIP Dr.
   
Loading...