Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekatwa mkia.
 
Dr. Mashiji umekuja kujiazishia uzi ili ukumbukwe?
Usihofu utapewa ukuu wa wilaya.
 
Atakuwa yuko nje ya nchi anaongeza elimu
Tena?
Hiyo itakuwa digrii ya ngapi, kumi?

Huyo jamaa ni 'typical' ya watu watafuta maslahi . Anatandaza nyavu hata pasipo na maji akitegemea atanasa samaki!
 
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?
Yupo Mitaani Mwendazake Alimdanganya stamps UBALOZI
 
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?
List ni ndefu utazani nao walikufa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom