Yuko wapi comrade R. Masako?

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
276
Ni muda mrefu nimemkosa Comrade R. Masako katika kipindi cha KIPIMA JOTO cha kila Ijumaa baada ya taarifa ya habari. Ndugu Masako ni Mratibu muhimu wa kipindi hiki kutokana na kukiongoza vizuri na kwa weledi mkubwa.

Kipindi hiki kimeanza kukosa umaarufu wake baada ya kukosekana Ndugu R.Masako. Ni wakati muafaka kumrudisha Ndugu R. Masako kuendelea kukiongoza kipindi hiki.

Ndugu R.Masako hakika ni jembe.
 
Ni muda mrefu nimemkosa Comrade R. Masako katika kipindi cha KIPIMA JOTO cha kila Ijumaa baada ya taarifa ya habari. Ndugu Masako ni Mratibu muhimu wa kipindi hiki kutokana na kukiongoza vizuri na kwa weledi mkubwa. Kipindi hiki kimeanza kukosa umaarufu wake baada ya kukosekana Ndugu R.Masako. Ni wakati muafaka kumrudisha Ndugu R. Masako kuendelea kukiongoza kipindi hiki. Ndugu R.Masako hakika ni jembe
Amestaaafu ndugu
 
Masako amestaafu, ila kwa upande wangu naona kuwa Jackline Silemu yuko vizuri sana kwenye kipima joto. Wakati mwingine nachelea kusema kuwa yuko vizuri hata zaidi ya Masako. Labda kwa ule mtindo wa Masako wa kuongea kwa weledi Jackline yuko juu.
 
Back
Top Bottom