Yuko wapi aliyesema Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal?

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
396
966
Nauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno.

'Mungu mbariki Arteta'

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Bado sijamkubali kabisaa.
Falsafa zake anazijua yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom