Yuko wapi aliyesema Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal?

Kufaa na kutokufaa ni kupi; ni wakati gani au baada ya muda gani mtu anapimwa ? Mambo ya kujiuliza ni Mengi ila ukweli ni kwamba kila mtu anahitaji muda na ya jana sio ya leo..., Leo Klopp watu wanaona mzembe na hafai (Its all about Results)....,

Binafsi kocha wa kumpa heshima kwa Gunners ni Arsene Wenger philosophy yake ya mpira pamoja na team management bila ku-break the bank ndio inayobidi kuigwa na kila kocha (suo kununua tu...., bila kujali finances)

 
Back
Top Bottom