wwww
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 350
- 252
Ndugu wanajamvi, kuna mtu mmoja kwa jina hapo juu alikuwa anapambana sana na Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe kabla ya muda wa kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Kyela kupitia Chama cha Mapinduzi.
Hata hivyo hakujitokeza kuchukua fomu wala kugombea ubunge. Huyu mtu ni muhimu sana kwa mustakabali wa nchi hii japo ni kijana mdogo kwa umri lakini ana mawazo yanayohitajika sana kwenye Serikali hii ya awamu ya tano.
Huyu bwana aliwahi fanya kazi ATC baadaye Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kabla ya kuhamishiwa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje. Nasikia hata huko amehamishwa tena lakini sijui yuko wapi kwa sasa.
My take: Kama JPM atafanikiwa kuuona utendaji kazi wa huyu kijana lazima atamkubali. Kijana ni mchapakazi kwelikweli.