Yuda na vipande vya pesa upande wa pili wa kidunia

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
swali kwa wanaofahamu kuhusu hili.!
kipindi cha yesu na wanafunzi wake kulikuwa na msaliti ambaye alimuuza yesu kwa jina Yuda aka "muhasibu wa yesu".

huyu Yuda ndie aliyepokea vipande vya pesa !
kuna madokezo wale wapenda kujua dunia upande wa pili.
HISTORIA;
wakati Yuda alipopokea vile vipande vya pesa na kuumuza Yesu,alikuwa bado ajatumia ila baada ya kuona kuwa alikosea ikabidi kwenda kujinyoga!

wakati ana jinyonga alikuwa na zile vipande vya pesa.

swali lina kuja hapa !!!
*Yuda alipojinyonga vile vipande vya pesa na wataalamu wanadai ukipata kipande hata kimoja ...!
:sijajua vile vipande vya pesa kwa nini vipo upande wa pili!

*Yuda alipojinyonga pale ule mti ulikuwa wa aina gani na kwa nini unatajwa kuwa na mambo mengi.

*kwa nini wanaonyongwa au kujinyongwa wote walifata mfumo wa yuda ambao alijinyonga usiku !
 
Unamaana kipindi yuda hajajinyonga watu walikuwa hawajinyongi ila aliponyonga nawengine wakaanza kujinyonga na kuanza kumuiga wakawa wanajinyonga usiku?
 
swali kwa wanaofahamu kuhusu hili.!
kipindi cha yesu na wanafunzi wake kulikuwa na msaliti ambaye alimuuza yesu kwa jina Yuda aka "muhasibu wa yesu".

huyu Yuda ndie aliyepokea vipande vya pesa !
kuna madokezo wale wapenda kujua dunia upande wa pili.
HISTORIA;
wakati Yuda alipopokea vile vipande vya pesa na kuumuza Yesu,alikuwa bado ajatumia ila baada ya kuona kuwa alikosea ikabidi kwenda kujinyoga!

wakati ana jinyonga alikuwa na zile vipande vya pesa.

swali lina kuja hapa !!!
*Yuda alipojinyonga vile vipande vya pesa na wataalamu wanadai ukipata kipande hata kimoja ...!
:sijajua vile vipande vya pesa kwa nini vipo upande wa pili!

*Yuda alipojinyonga pale ule mti ulikuwa wa aina gani na kwa nini unatajwa kuwa na mambo mengi.

*kwa nini wanaonyongwa au kujinyongwa wote walifata mfumo wa yuda ambao alijinyonga usiku !
Mathayo 27:3-10 amefafanua vizuri jinsi Yuda alivyorudi Kwa Makuhani na kujuta kwamba amesaliti damu isiyo na hatia Kwa hiyo wachukue fedha zào. Wao walimkatalia lakini akavitupa chini vile vipande 30 vya fedha akaenda kujinyonga. Makuhani wakaona isiwe shida hawawezi Kuweka kwenye hazina fedha ya damu hivyo akaamua kununua konde Kwa ajili ya kuzikia.
 
Back
Top Bottom