Yu wapi Young Killer Msodoki

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Sisi watu wa kanda ya ziwa saa nyingine nashindwa kuelewa pale tunapofanikiwa na tukawa maarufu, kosa letu huja tukisha fika Dar. Sijui shida inayotupata huko huwa ni nini. Msodoki ni msanii ninaye kubali sana tungo zake na namna ya uchanaji wake, lakini muda umepita sasa bila kumsikia huyu bwana mdogo kunako trending list za muziki wetu huu pendwa. Yu wapi msodoki, mbona kajificha utadhani mashabiki zake tumemuudhi.

1632390618763.jpeg
 
kuna muda mtu anaamua kutulia kidogo huku akifanya mambo mengine. Lakini wimbo mwaka huu katoa labda kama hujausikia tu kwakua siyo hit song.
 
Alifululiza kutoa ngoma mkamsema na katika ngoma moja inaitwa secreto mkasema amekua mpuuzi nywele zake ni kama moto.

Ametulia mmemind.

Kuna kipindi alikua chini ya Wanene kwa ninavyoelewa ukiwa chini ya mgt unatakiwa kutoa ngoma kila baada ya wiki kama yupo kimya hivi labda yupo kivyake vyake.
 
Huu mwaka mgumu kwa huyu janja..alianza kutoa sinaga swagga3 ikafanya poa akaongeza 4,5 sijui ADI 6 zimebuma flani..katoa album KWA kiki za demu mzungu kibaoh hakuna kitu...inshort mwaka umemuangukia this tym kijana wetu..mimi pia shabiki sn wa kijana nimeliona kitambo.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom