Yu wapi Richard Tambwe Hiza

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa..
Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...?
Mwenye habari zake hebu atujuze..
 
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa..
Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...?
Mwenye habari zake hebu atujuze..

Daah!,jamaa alikua n sera nzuri sana!.Nackitika hakua mvumilivu kisiasa na yaonyesha hakutaka maslahi y Taifa bali alitaka maslahi yake binafsi.Tujuzeni jamani yuwapi
 
Richard Hiza Tambwe anapatikana ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Afisa Propaganda Mwandamizi. Majira ya jioni anapatikana katika viunga vya Kahawa Temeke Mwisho. Wiki ijayo anaingia katika kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mianzini ambako CCM inachuana na CUF, chama kile cha CDM kipo ICU
 
Huyo alishatumiwa kama ile mipira na hivi sasa ukimuona utasikitika ! Anatumia baloon old model iliyochoka haina hata taa za pembeni (sijui zinaitwa indicator ) , polisi wa usalama barabarani badala ya kumkamata huwa wanamsikitikia tu , huyo atakaye mtegemea Tambwe kwenye kampeni atakuwa anajifurahisha au anadanganya , Tambwe hana ushawishi tena , shortly ni kwamba Amechoka ! Hilo ni funzo kwa wasaliti wengine ! Poor Tambwe ! DUNIA HAINA HURUMA - Bahati Bukuku .
 
Muosha Huoshwa!!! Jitihada zake kama za Livingstone Lusinde A.k.a Mzee wa Bajaji ziliishia baada ya wakubwa kuvuka mto yeye kaachwa ng'ambo. Yawezekana anatamani kurudi upinzani lakini ukitukana mamba kabla ya kuvuka mto matokeo yake ndiyo hayo.
 
Huyu anapatikana sana pale Tanesco Temeke, ni kishoka mzoefu sana, kwa wale wenye shida ya kuunganishiwa umeme kinyume cha taratibu wamwone haraka.
 
Niko kwenye Mchakato wa kutunga kitabu kitakachoitwa ' MAJUTO NI MJUKUU' na kiukweli nina mpango wa kumtumia Tambwe Hiza kama mhusika mkuu ! Anayo mengi sana kwa vijana kujifunzia .
 
Mungu ana siri kubwa sana na mwanadamu, leo mkisema ee Mungu kwa dhati kwa kuomba na kufunga CCM isambaratike kama KANU haitachukua miaka 5 ombi litakuwa limejibiwa ila kwa uchawi, ushirikina na visasi itachukua muda, pia njia ya muovu ni fupi Mungu hatavumilia.
 
Mwaka Jana nilifika pale Lumumba mara kadhaa; Nilimkuta akiwa anazurura zurura mle ndani. Kimsingi nadhani kazi aliyotakiwa kuifanya alivyoingia CCM alishaimaliza kitambo.

Kwa upande wa hoja zake; Mara ya Mwisho nilimuona ITV kwenye mjadala wa Katiba (mwaka 2011- kama sikosei) Akiwa anatetea kwamba Watanzania hatuhitaji katiba Mpya.Alikuwa na Sengondo Mvungi na mtu mwengine mmoja ambaye simkumbuki.Basi watu wote walibaki wanamshangaa; akadai si msimamo wake bali wa CCM.

CC. Mtela Mwampamba
Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
Kaloea kwenye 'Adam's apple' la mama! Alipotokea ndo anapopitia siku hizi!!! Kada mwandamizi wa CCM
 
Huyu jamaa akiwa kule Liberali si alisema kuliko aende ccm ni heri akamlale mama yake mzazi? Na kwakuwa hivi sasa yuko ccm huenda alishatimiza nadhiri yake ndio maana sasa laana zinamwandama.
 
....who is next by ---- young....!!??? shonza..??, mwampamba...?? au kirusi masalia..??teh,tehh...
 
Yupo yupo tu anazurura hovyo hovyo ajui hata nini anakifanya na kifaa cha kuvutia hewa. Pumu umemtaiti Kishenz.
Kifupi huyu Tambwe Kadata
 
Hakika mkuu,mwaka 2009 alikuwa na DCM lake lililokuwa linakwenda Temeke,kwa ufupi njaa imemuingiza huyu jamaa pabaya
Huyu anapatikana sana pale Tanesco Temeke, ni kishoka mzoefu sana, kwa wale wenye shida ya kuunganishiwa umeme kinyume cha taratibu wamwone haraka.
 
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa..
Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...?
Mwenye habari zake hebu atujuze..

Sikumbuki mpira wa kiume nilioutumia juzi upo wa leo!!!!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom