Yu wapi Pof. Mbwiliza? Mjamaa, bosi wa CCM Kivukoni aliyekataa kumdhamini JK 2005 kugombea Urais

Prof. Mbwiliza sasa hivi anaishi wilaya ya Kasulu kijiji cha Nyumbigwa , ukitaka kumpata nenda Kasulu siku hiyo hiyo ukimwuliza utapelekwa nyumbani kwake siyo mbali na mji.

Mkuu hapa hujachanganya na Kilontsi Mpologomyi? Angalia vizuri kumbu kumbu zako!!
 
Kwa forum ya siasa-Ukiingia jamii forum nenda siasa-then utaona neno post new topic--bonya itakuletea eneo la kuandika.

Kila la heri
Ukiweza unitumie mayai ya kuku.

msaada wakuu jinsi ya kuanzisha uzi mpya na namna ya kuupost,kila nikisaka sehemu itakayo niwezesha kuandika thread nachemka wakuu plz.:mad::sad:
 
Back
Top Bottom