Elections 2010 Yu wapi nakaaya nsumari?

bojuka

Senior Member
Sep 9, 2010
128
1
Wana jf mwenye taarifa ya Nakaaya azianike hapa. Alisikika kuwa amehamia ccm akitokea chadema
 
nakaaya
 
Si mwajua Bongo tena. Alishasetiwa njoo CCM tunashinda utapata viti maalum. Matokeo yake hakuna ushindi back to sq1. Nadhani atakuwa anatunga nyimbo za kuwakashifu wapinzani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom