Yu wapi muigizaji aliejulikana kwa jina la KIATU?

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,356
789
wa kitambo kile sambamba na yule bwana mpana mcheza sarakasi kabla ya kupigana alikuwa anaigiza nae kitambo kile
Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye taarifa zake alikuwa akinivutia mno kwa naigizo ya kweli ya kipingi kile tofauti na hawa wa sasa cjui bolibo mara pilipili nacwengine waganga njaa hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom