Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

Kuokoka na kuchimba madini..!
Hapo kuna doa.Hiyo mimadini inavotegemea uchawi basi tu
Habar wanandugu, Malebo alisha okoka havuti sigara wala hanywi pombe tena. Yupo huku pande za NYARUGUSU anamiliki maduara ya kuchimba dhahabu Kama sikosei ni ma4 , jamaa yupo vzur kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wanandugu, Malebo alisha okoka havuti sigara wala hanywi pombe tena. Yupo huku pande za NYARUGUSU anamiliki maduara ya kuchimba dhahabu Kama sikosei ni ma4 , jamaa yupo vzur kimaisha😎😎
Dah!... hongera Sana kwake 👏👏👏
 
Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
View attachment 1457188
Inasemekana Malebo yupo Lumumba, kagoma kuokoka, anawatwanga watu risasi saa7 mchana kweupee, anadai eti yeye ni msema kweli, kwamba yeye ni mpenzi wa mungu, kachaguliwa na wanyonge, mchungaji Munishi akiwemo
 
Malebo ameoa, na kutulia
Mrefu ama kwa majina william rajabu
Ana mke ameokoka na kwa sasa yuko vizuri kiuchumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom