Yu wapi Kabendera Shinani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi Kabendera Shinani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Coza Mhando, Mar 18, 2011.

 1. Coza Mhando

  Coza Mhando Senior Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salam wanaJF.
  Naomba kujuzwa na mwenye taarifa za mwanahabari huyu,na anashughulika na nini sasa,
  nawaclisha waheshimiwa
   
 2. b

  banyimwa Senior Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole na safari, maana inaelekea ulikuwa mwezini ambako mawasiliano na dunia hii hayapo. Huyu jamaa alijiua miaka mingi sana kwa kujitosa ziwa victoria na habari zake zilitangazwa sana na BBC na vyombo vingine vya habari.
   
 3. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka huyu mtangazaji wa zamani wa Rwanda alishafariki dunia ila sikumbuki ni lini
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kabendera alifariki mwaka 1995. Katika uchaguzi wa Oktoba alikuwa amejiandikisha kama raia na alikuwa na kadi ya CCM na kuweza kupiga kura. Hizo habari zilipofumka akajitosa ziwani Victoria. Mkewe nadhani bado yuko Bukoba.
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  oh! RIP
   
 6. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ninachojua kabendera alikuwa Mtanzania akahamia Rwanda na kuachana na Urai wa Tz,lakini akarudi kama mkimbizi. kilichomua ni ccm maana yeye ndiye alipeleka habari bbc kuwa bukoba mjini cuf imeshinda. CCM wakamzushia jambo na wakaaidi kumunganisha na mauaji ya Rwanda na kumfungulia kesi ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania. alipoona hivyo akajiua
   
Loading...