frankshops
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 212
- 180
Kwa vile yeye na jpm zilikuwa haziivi,atapata uteuzi soon,mwendo wa kulipia.Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo
Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa usiomithilika. Hakumsheshimu waziri mkuu mhe Pinda wala waziri yeyote yule.
Za chini chini zinadai kwamba hii ndiyo sabab ngosha alipopata kiti kikubwa alimsulubu sana Ghasia. Kwasabb Ghasia alimsonya mara nyingi tu huyu ngosha akiwa waziri.
Anyway, nauliza tu. Yu wapi mwanamke huyu kwa sasa?