Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

Kwahiyo umetumwa na huyo hawa..ili jina lake lianze kusikika masikioni mwa watawara ili ale teuzi ama?.

#MaendeleoHayanaChama
 
Marehemu Magu Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko....aliifaa sana hii nchi hawa wajinga walishaanza kushika adabu, maana alikuwa haangalii usoni ukizingua unaweza kwenda jela au kuwa blackmailed.....lazima ukae kwa adabu bila kujitingishatingisha....kama kuna mtu mkewe alitaka kupigwa pingu busara za lupaso zikaokoa jahazi.....yule ndio Nzilakende aka mwamba call him what you can call....

InshaAllan kwa uwezo wa Mungu kitapatikana chuma kingine soon....hii nchi wajinga wengi sana wanapaswa kushikishwa adabu na watambue nchi ni mali ya watanzania zaidi ya 60mil...
Wahuni na malaya wa kisiasa hawakumalizwa. Yani naelewa kwaninj viongozi makini kama nyerere na magufuli walikuwa wanaonekana wanaroho mbaya kazi ya kuleta maendeleo kwa jamii iliyoharibika lazima uwe mtu wa kutoa kibano kwa wahuni. Kuna siku wahuni watapungua na sheria itafutwa ila kwa awaku hii tumerudi mwaka 2005-2015
 
Kwisha habari yake yeye na yule Dendego alikuaga mkuu wa mkoa huko kusini, kila watu wana zama zao na wanasema kutesa kwa zamu sasahivi ni zamu ya wakwe kina mchengerwa
 
Mwisho wake hujui anaujua Allah ila kwa sasa karudi kwny biashara yake ya korosho bila ya vitisho vya Kupigwa Wazazi wake, 'Mgogoro wa Dangote' wameumaliza na waliokuwa wanauchochea wamefungashiwa virago warudi kwao…najua hapo hutonielewa ila elewa hivyo hivyo tu
Halafu mwishowe wake ?
 
Back
Top Bottom