alexmahone
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 482
- 405
Nimemkumbuka huyu jamaa alikuwa akiimba kama anabana pua hivi..,nadhani ndo swaga zake.
Nakumbuka kitu PENZI NI KIKOHOZI.,Malaika.
Mwenye taarifa na huyu jamaa,atujuze
Nakumbuka kitu PENZI NI KIKOHOZI.,Malaika.
Mwenye taarifa na huyu jamaa,atujuze