Elections 2010 Yu wapi DR Harrison Mwakyembe kukemea haya?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,994
78,913
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika nafasi ya uspika! Maslahi ya chama yawe mbele...!
 
Kusema ni aina ya kupeleka ujumbe na hasa ujumbe kwa walengwa. Kuna namna nyingi za kupeleka ujumbe, maneno au vitendo vya weza kuwa moja wapo. Unaweza pia ukasema kwa kumwendea mbunge mmojammoja na ujumbe wako ukafika. Siyo lazima ufanye kama alivyofanya mzee wa vijisenti.
 
CCM Kyela walikuwa wamejiandikisha kupigiga kura walikuwa watu kama 7000 +.

Mwakyembe alipata kura zaidi ya 15,000 kwa wanachama wa CCM peke yake.

Kuna uwezekano angelishinda bila ya Kuchakachua ila hakujiamini kiasi hicho.

Mkoani CCM, walipopata habari, wakaliweka chini jina lake kwa kumpa maksi za chini sana.

Kule NEC sijui CC wakambeba na kumuweka yeye na wapinzani wake wakawa wamelia.

Takururu wana kila data za Rushwa wakati wa kampeni za ndani ya CCM alizofanya Mwakyembe na wagombea wengine. Wakitaka, muda wowote wanaweza kumbeba na kumfunga kwa kutowa rushwa. Nina amini kuwa watakuwa wamemtisha kuwa kama akikubali kuwa na Mafisadi, basi watamuachia kwa makubaliano akae kimya au hata ikibidi basi AWASAIDIE.

Mwakyembe kama msaada kwa upinzani/Dr. Slaa msahau.

Si yeye tu ila hata hao akina Sitta, Anna, nk nk.....
 
We hujui kuwa mwakyembe lake ilikuwa richmond ,na ilimalizika siku nyingi huwezi kumsikia labda apewe lingine!
 
Kusema ukweli hakuna mbunge wa CCM atakayethubutu kumwambia mwenzake wa CCM ampigie Kura Marando kwani wote hawaaminiani hivyo njia nzuri ni kwenye sanduku la Kura. kila mtu ahamishie hasira yake pale ndipo Makamba atakaposhangaa.
 
WanaJF nikumbusheni zaidi ya Tuhuma za Richmond Mwakyembe ana nini hasa cha kumkumbuka?
 
jamani inabidi tuanze kuulizana umri humu jamvini. hivi kwa mfano huyu aliyebandika sredi hili ana miaka mingapi sasa hivi? ci minor huyu??
 
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika nafasi ya uspika! Maslahi ya chama yawe mbele...!

hathubutu kufyatuka sasa, anota uwaziri.
 
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika nafasi ya uspika! Maslahi ya chama yawe mbele...!

Aaaah huyo kesha Chakachuliwa full.
 
CCM Kyela walikuwa wamejiandikisha kupigiga kura walikuwa watu kama 7000 +.

Mwakyembe alipata kura zaidi ya 15,000 kwa wanachama wa CCM peke yake.

Kuna uwezekano angelishinda bila ya Kuchakachua ila hakujiamini kiasi hicho.

Mkoani CCM, walipopata habari, wakaliweka chini jina lake kwa kumpa maksi za chini sana.

Kule NEC sijui CC wakambeba na kumuweka yeye na wapinzani wake wakawa wamelia.

Takururu wana kila data za Rushwa wakati wa kampeni za ndani ya CCM alizofanya Mwakyembe na wagombea wengine. Wakitaka, muda wowote wanaweza kumbeba na kumfunga kwa kutowa rushwa. Nina amini kuwa watakuwa wamemtisha kuwa kama akikubali kuwa na Mafisadi, basi watamuachia kwa makubaliano akae kimya au hata ikibidi basi AWASAIDIE.

Mwakyembe kama msaada kwa upinzani/Dr. Slaa msahau.

Si yeye tu ila hata hao akina Sitta, Anna, nk nk.....

Sikonge Sikonge aka mpambe wa alyepigwa chini Kyela!

Mimi mwenyewe simfagilii Dr hata kidogo hasa kwa kaulizake za kwamba wapinzani ni wahuni tu. Yeye kwa sababu anajua kuwa rafiki yake mvungi ni mpinzani mhuni basi anadhani wote ni wahuni.

Kuhusu rushwa nakukatalia kabisa jamaa hakuonga kabisa hata kampeni zake za 2005 mtu aliyehionga kwa kimbele mbele chake alikuwa ni mzee wa misifa Elias na walikuwa wanakosana sana na dr kwenye hilo.

Kadi feki zilipelekwa mbeya na wakina mzee wa UK na watu wakazichangamkia sana halafu wakampigia dr sasa kosa la nani aliyezileta au aliyepigiwa.

Ila mimina furaha sana waha wanafiki wanapopigwa bao na mafisadi na nitarudia tena hata kitabu kitakatifu kinasema kuwa ukiwa vuguvugu utatapikwa na sasa hawa ndugu zetu wako kwenye dust bin!
 
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika nafasi ya uspika! Maslahi ya chama yawe mbele...!

hapo ndipo imethibithishwa kuwa you can not fight CCM from inside. Kwa wale wote wachukia ufisadi, token CCM. Maana mafisadi ndio wanaoongoza CCM
:israel:
 
Back
Top Bottom