Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,155
- 79,315
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika nafasi ya uspika! Maslahi ya chama yawe mbele...!