Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Nafikiri wengi wanajua matunda na mboga za majani (vitamins) ni dawa ila sometimes ugonjwa unapozidi lazima utumie na dawa za kisasa kwa msaada wa daktari sio kutegemea matunda tu
Amenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
 
Ila jamaa alitoa elimu nzuri sana miaka ya 2009-2011 nilikuwa namfatilia sana na ametusaidia wengi kwa elimu yake.
 
nakumbuka nilikua nafuatilia channel ten nafikiri, alitoa tiba ya mafua kwa kutumia kitunguu swaumu, nilijaribu kweli kuchukua kitunguu swaumu nikakitwanga na kupaka kwenye nyayo za miguu, nilipo amka ahsubuhi pua zilikua nyeupe. sijui yukowapi sikuizi huyu jamaa.
 
Amerudi radio Uhuru jumatau hadi alhamis na jumapil kuanzia SAA NNE usiku ,,pia ofisin kwake malamba mawili mbezi
 
Ndodi siku moja alitoa challenge kwenye kipindi chake alisema ambaye anasema nguruwe analiwa na pameandikwa kwenye bible kwamba nguruwe ni halali aje na bible amuonyeshe huo mstari then yeye atampatia funguo ya gari yake nissan safari, basi bhana aliibuka mzee mmoja mbishi hahari kwenye kipindi kinachofata walibishana sanaa ila ndodi alishinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom