Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Yule bwana aliyevuma kwenye runinga miaka ya nyuma kwa kutoa ushauri nasaha na tiba kwa maradhi tofauti ya Binadamu. Jamaa alikua mjanja mjanja fulani hivi nakumbuka alikuwa akipiga vita sana watu wenye vitambi lakini cha ajabu alipopata umaarufu na mambo kumwendea vema nae kitambi kikaja kwa Nguvu zote!

Tujuzane huyu mtu yupo wapi? Ina maana ameacha tiba zake mbadala?
 
Yule bwana aliyevuma kwenye runinga miaka ya nyuma kwa kutoa ushauri nasaha na tiba kwa maradhi tofauti ya Binadamu
Jamaa alikua mjanja mjanja fulani hivi nakumbuka alikuwa akipiga vita sana watu wenye vitambi lakini cha ajabu alipopata umaarufu na mambo kumwendea vema nae kitambi kikaja kwa Nguvu zote!
Tujuzane huyu mtu yupo wapi? Ina maana ameacha tiba zake mbadala?
Yupo na bado anaendelea na tiba zake, isipokuwa amebadili strategies za kuwafikia walengwa wake
 
Nachomsifu Ndondi ni aina yake ya kuongea huwa haichoshi na inavutia uendelee kumsikiliza.

Ila kwenye bei za dawa ndio alikuwa kiboko dozi moja anakwambia Elfu 45 na anakwambia ili upone kabisa kabisa unatakiwa unywe dozi siku 60.

Yawezekana dawa zake zilikuwa zinasaidia ila ziliwalenga Sana watu wenye kipato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom