Yu wapi Deo Mwanyika wa ACACIA?

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wakuu,

Kuna taarifa (hazijathibitika) zinazosambaa zikionesha kuna jambo limemkuta bwana huyu.

Yu wapi? Kuna mwenye taarifa zake?
 
Ungeelezea ilo jambo lilikumkuta kwanza

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Wasije kuwa wamekimbia nchi hawa makaburu? Hongera raisi kwa kusawazisha nchi yetu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom