Yu wapi aliyewahi kuwa mbunge viti maalum Diana Chilolo?

Tinde nsalala

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
248
253
img_2727-copy-jpg.473678

Mnaofahamu alipo mbunge huyo (viti Maalum) mstaafu mtujuze.Alikuwa mpiga vigelegele mtiifu sana wa chama chetu.

Mhanga huyo wa SIASA za makundi ghafla haonekani tena na hasikiki!Iwe ktk ofisi za chama au maeneo mengine tuliyozea kumwona akiwa.

Nakumbuka alikuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa mzee wetu, Lowasa.Lkn baada tu ya mzee huyo kuhamia ukawa na ndipo hata Mwl naye akawa hasikiki tena!

Wapi Mwl Chilolo?
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mbona alimkandia sana Lowassa kwenye kampeni za Magufuli Makiungu na kwingineko Singida?
Hakufuatana na Lowassa
Atakuwa hasikiki kwa kuwa sio mbunge tena na hana nafasi yoyote kwenye chama chake .
Hata na hivyo hakuwa na effect yoyote kwenye utumishi wake kwa kipindi chote cha ubunge wake.
Nadhani hata kwao Shelui hawamkumbuki.
 
Yupo anaishi nyuma ya mango garden....kino
Nishakutana naye sana kwa fundi nguo mmoja mtaa ufipa huwa anaendaga sana kushona mavazi....

Ova
 
Mbona alimkandia sana Lowassa kwenye kampeni za Magufuli Makiungu na kwingineko Singida?
Hakufuatana na Lowassa
Atakuwa hasikiki kwa kuwa sio mbunge tena na hana nafasi yoyote kwenye chama chake .
Hata na hivyo hakuwa na effect yoyote kwenye utumishi wake kwa kipindi chote cha ubunge wake.
Nadhani hata kwao Shelui hawamkumbuki.
Labda alikuwa anadhihilisha unafiki tu!Yule kwa wajuzi wa mambo wanadai ukaribu wake na mamvi ulikuwa ni zaidi ya tujuavyo.

Kuhusu kumkandia,wanasiasa ndiyo zao,alifikiri akifanya hivyo Magu pengine ataja mkumbuka ktk ufalme wake.
 
Yupo kwake singida mjini, bado ni mwenyekiti wa uwt mkoa wa singida
 
Back
Top Bottom