YSL is dead

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
2a8rx8m.gif


HIVI NANI BADO ANAYO MASHATI YA YSL au perfume zake?

the man just bite the dust..developing...

article-0-0173855B00000578-293_468x286.jpg
 
Fat Joe na Jadakiss at least nimewasikia wakirap about them kwenye nyimbo kadhaa and yeah Rick Ross too.

RIP
r1569010027.jpg
 
Hivi madisaina wetu bongo wako timamu?? maana nawona ktk fasheni show tu lakini hawapo madukani......
 
Habari imenisikitisha mno mie ni mpenzi wa Cologne yake Jazz toka miaka ya 80's.Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
 
Back
Top Bottom