Yoyote mwenye uhitaji wa dereva wa magari madogo na size ya kati

Iamvitalis04

Member
Jul 20, 2019
38
48
Habarini wana jf, mimi nikijana wakitanzania mwenye umri wa miaka26, elimu ya form four. Nia na madhumuni ya kuandika uzi huu ni changamoto ya ajira tu, napenda kufanya kazi. Yoyote mwenye uhitaji wa dereva wa magari madogo na size ya kati nipo tayari kufanya kazi mda wowote sehemu yoyote pasi na kinyongo...ikiwa uber itapendeza zaidi.

Kwa mawasiliano-0659838316
-0693300471
Napatikana dar es salaam mabibo hostel.
 
Back
Top Bottom