Yoweri Kaguta Museveni. Ndiyo Basi tena Maskini!

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,355
11,500
Hutegemei mtu mwenye akili zilizo sawasawa ata behave hivi mbele za watu. Kutema mate namna hii

Ni wazi kuwa akili ya Museven imeshaingia Virus. Tutegemee mengine ya hovyo zaidi kutoka kwake.utendaji wake wa ubongo umeshaingiwa na Virus ambao wanasababisha disorder brain function.

Alipaswa apumzike. Uganda na East Africa kwa kiasi kikubwa inakumbwa na tatizo la kuwa na Maraisi wenye matatizo kwenye ubongo.

Heheheeee... teh....bara letu lina mambo...
Kuna wakati alisimamisha msafara akachimba dawa vichakani. Sk hizi naskia kwenye maafara wake kuna gari lina choo...!!!!!
 
Kubug ndo nini? Muwe mnatumia akili.miaka yetu tunasoma ilikuwa muhimu sana kutumia akili ku reason. Hiyo video hata ingekuwa ya mwaka 2000 as long as sijasema ni ya jana. Bado ngesema museven hali yake inatisha.

So hapo whatsa wrong?mimi nmeandika nikijua nachoandika maana sijataja kuwa ni video ya jana au juzi.nimesema anayoyafanya anaonesha ana tatizo si dogo.so kwa akili nyepesi you relate how he behaved and how he is now. Elimu ituwezeshe kuchanganua mambo.😂😂😂😂 Kama hapa umepata shule bure. Achana sijui kubug sijui ku bug....

si ukubali tu kuwa umebug..huna updates mkuu...calm down pls
 
Kubug ndo nini? Muwe mnatumia akili.miaka yetu tunasoma ilikuwa muhimu sana kutumia akili ku reason. Hiyo video hata ingekuwa ya mwaka 2000 as long as sijasema ni ya jana. Bado ngesema museven hali yake inatisha.

So hapo whatsa wrong?mimi nmeandika nikijua nachoandika maana sijataja kuwa ni video ya jana au juzi.nimesema anayoyafanya anaonesha ana tatizo si dogo.so kwa akili nyepesi you relate how he behaved and how he is now. Elimu ituwezeshe kuchanganua mambo.😂😂😂😂 Kama hapa umepata shule bure. Achana sijui kubug sijui ku bug....
Umekosea tu bhana, usitafute pa kuchomokea
 
Kubug ndo nini? Muwe mnatumia akili.miaka yetu tunasoma ilikuwa muhimu sana kutumia akili ku reason. Hiyo video hata ingekuwa ya mwaka 2000 as long as sijasema ni ya jana. Bado ngesema museven hali yake inatisha.

So hapo whatsa wrong?mimi nmeandika nikijua nachoandika maana sijataja kuwa ni video ya jana au juzi.nimesema anayoyafanya anaonesha ana tatizo si dogo.so kwa akili nyepesi you relate how he behaved and how he is now. Elimu ituwezeshe kuchanganua mambo. Kama hapa umepata shule bure. Achana sijui kubug sijui ku bug....

Video hiyo ni ya muda sana na alichokifanya kilijadiliwa sana, pengine hauko updated!
Ungekuwa updated, usingeileta! Haina impact kwa wakati ulioileta, japo inaweza kuwa na impact hapo baadae lakini kuijadili kwa sasa ni kama mwalimu kurudia kitu ambacho alishakifundisha na wanafunzi wanakielewa sana, hivyo wanaona kama mwalimu anawaboa tu...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wait wait..!!! please ngoja umesema Kwenye Maafara?
Heheheeee... teh....bara letu lina mambo...
Kuna wakati alisimamisha msafara akachimba dawa vichakani. Sk hizi naskia kwenye maafara wake kuna gari lina choo...!!!!!
 
Hahaha hii ndo JF atulie apigwe sindano.
Video hiyo ni ya muda sana na alichokifanya kilijadiliwa sana, pengine hauko updated!
Ungekuwa updated, usingeileta! Haina impact kwa wakati ulioileta, japo inaweza kuwa na impact hapo baadae lakini kuijadili kwa sasa ni kama mwalimu kurudia kitu ambacho alishakifundisha na wanafunzi wanakielewa sana, hivyo wanaona kama mwalimu anawaboa tu...

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom