Youtubers tukutane hapa

Sony Acid na Ableton! Sema nowadays meacha kuna siku YouTube walifuta beats 20+ kwa mkupuo..
Ahsante mi siweki yutubu ni ulevi wa muziki Sahivi navyoandika hapa nasikiliza beat ya Michael Jackson you rock my world
 
Saizi free hakuna kujisajiri labda kama unafanya habari.
Kuna tamko lolote la kisheria lililopo? Maana adhabu ziliwekwa na sheria na kanuni zake so somehow inabidi zitenguliwe kwanza au kubadilishwa ili kuepusha madhara mbeleni ya kuwa criminal.

Uko aware na taarifa rasmi iliyofuta au kurekwbisha sheria/kanuni kuruhusu hii kitu?
 
Duh! Mkuu ndo ushasahau..?
Hapana mkuu shida mara mingi external hdd angu naachaga huko studio kwa droo baada ya kipindi. Mashine ya home sina library ya beats/Instrumentals zote. Jioni nina session ntakua na access nayo nakuhaidi ntakutumia usijali..
 
Oukay kumbe mkuu unahusika na Mambo za studio!
Sawa ndugu mi nasubiri
 
Tuna pambana na u DJ mkuu mradi tupate kwenda toi..

Oukay kumbe mkuu unahusika na Mambo za studio!
Sawa ndugu mi nasubiri
Hizo hapo juu beat na acapella japokua beat inaweza kua sio clear sana sabu stems za nyimbo za kibongo kuziachanisha totally kidogo zinaleta usumbufu mno.. Tofauti na za mbele kwenye final touch kuna kipengele waga wanaweka ambacho ni rahisi kukibypass.
 
Watu wakizikalia zinasukwa upya inatoka ya hivihivi sijui tunazubaa wapi unajua hii kitu inahela ndani yake..😃
 
Kuna tamko lolote la kisheria lililopo? Maana adhabu ziliwekwa na sheria na kanuni zake so somehow inabidi zitenguliwe kwanza au kubadilishwa ili kuepusha madhara mbeleni ya kuwa criminal.

Uko aware na taarifa rasmi iliyofuta au kurekwbisha sheria/kanuni kuruhusu hii kitu?
Anzia dakika ya 1:30 mpaka dakika ya 2:00

Sio official lakini utaona wanako elekea.

Back
Top Bottom