Youtubers, Camera Man, Na watumiaji wa Camera hii inawahusu!

lete rimoti

Senior Member
Aug 24, 2021
152
192
Mobile phone lens.

Unahitaji kupiga picha za mbali za siri au zakawaida. Au wewe ni camera man Ila umekosa camera na unataka kutumia simu?
Tumia lenses hii ndogo inayopachikwa kwenye camera ya simu Yako au kwenye digital camera. Inaweza kuzoom Hadi 12×.

Ni nzuri na quality kubwa ya picha itategemea na camera Yako unayotumia. Tupo kwenye offer kipindi hiki bei 28,000/=
Tupigie simu popote tunakuletea Hadi mlangoni unakagua bidhaa ndo utalipia.

1718725436.jpeg
 
View attachment 1962617
Ni compatible kwa Aina gani na gani ya simu vipi simu ikiwa na mega pics chache yenyewe ina uwezo wa kuongeza ?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mobile phone lens.

Unahitaji kupiga picha za mbali za siri au zakawaida. Au wewe ni camera man Ila umekosa camera na unataka kutumia simu?
Tumia lenses hii ndogo inayopachikwa kwenye camera ya simu Yako au kwenye digital camera. Inaweza kuzoom Hadi 12×.

Ni nzuri na quality kubwa ya picha itategemea na camera Yako unayotumia. Tupo kwenye offer kipindi hiki bei 28,000/=
Tupigie simu popote tunakuletea Hadi mlangoni unakagua bidhaa ndo utalipia.

View attachment 1962617
inakuja na stand yake??
 
Ndiyo Mkuu stand zipo ila inajitegemea. (Utalipia bei yake stand)
Tulikuwa nazo Ila kwa sasa zimekwisha
 
Bro mi namshukuru nimepata, Asante sana kiukweli sijawahi kuagiza kitu nikaletewa mlangoni Ni mara ya kwanza Mpo vzr mno.Mungu Awabariki.

MB: Naomba mtuwekee na bidja nyingine mlizo nazo sisi wa YouTubers tunahitaji vitu vingi Ila hatuvijui mpaka mtuonyeshe
All in All Subscribe kwenye AYO AFRICA & KIKEKE
IMG-20211019-WA0000.jpg
 
Bro mi namshukuru nimepata, Asante sana kiukweli sijawahi kuagiza kitu nikaletewa mlangoni Ni mara ya kwanza Mpo vzr mno.Mungu Awabariki.

MB: Naomba mtuwekee na bidja nyingine mlizo nazo sisi wa YouTubers tunahitaji vitu vingi Ila hatuvijui mpaka mtuonyeshe
All in All Subscribe kwenye AYO AFRICA & KIKEKEView attachment 1979590
Ahsante Sana ndugu kwa Review Yako nzuri kwetu. Mungu Akubariki katika shughuli zako.
 
Back
Top Bottom