Nikisearch video yeyote, Youtube haifunguki kabisa

Jomas

Member
Nov 30, 2012
53
6
Wanajamii F, nina tatizo kwenye laptop yangu nikisearch video yeyote au ujumbe nitakao, my youtube haifunguki kabisa, naomba msaada, tatizo laweza kuwa nini?
 
Update adobe flash player na kama ikiendelea kugoma jaribu kutumia web browser nyingine
 
Mbona nimeupdate flash player,na nimetumia browser mbili kwa wakati tofauti ambazo ni mozira na internet exp lakn bado imegoma au kuna njia nyingne???? Wana JF
 
tumia internet explorer 9 haina haja ya kikorokoro chochote kuplay youtube inatumia html5
 
Back
Top Bottom