Youtube

Jomas

Member
Nov 30, 2012
54
0
Wanajamii F,ninatatzo kwenye laptop yangu nikisearch video yeyote au ujumbe nitakao,my youtube haifunguki kabisa,naomba msaada ,tatzo laweza kuwa nini?
 

Jomas

Member
Nov 30, 2012
54
0
Mbona nimeupdate flash player,na nimetumia browser mbili kwa wakati tofauti ambazo ni mozira na internet exp lakn bado imegoma,au kuna njia nyingne???? Wana JF
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,378
2,000
tumia internet explorer 9 haina haja ya kikorokoro chochote kuplay youtube inatumia html5
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom