Youtube: watanzania tunapenda ubuyu

desiigner

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
520
229
Watanzania tunapenda ubuyu(Umbea) sana hii imezihirishwa na interview ya Rich mavoco na Chibu Dangote kwa kushika nafasi ya 3 katika on trending youtube Tz siku ya leo (27/11/2016).
Interview hiyo imeweza kuicha mbali official video ya kokoro.

Je ni kweli watz tunapenda ubuyu???

treding.PNG
 
Back
Top Bottom