YouTube Tax kwa Creator (Wenye Channel) Nje ya USA

Yaap ni muhimu kuwa na vyanzo vingine vya mapato kama unategemea YouTube maana ukiangalia unalipia kodi hapa Tanzania TCRA milioni 1 plus ukikatwa na asilimia 30 hapo kama una wafanyakazi hujawalipa... Always nasema tumia YouTube kama platform ya kupeleka traffic kwako siko kutoa trafici kwako kupeleka YuTube
TCRA washapunguza fee
 
Tanzania Tech , mimi nina shida moja pamoja na hii ya kodi kuna hela nilijaribu kutoa kama dollar 100 hivi nikajaza details za crdb kama accnt name ,number na swift code ili hela itumwe humo sasa cha ajabu wametuma like cheque kwanye sanduku langu la posta nimekwenda crbd pale mlimani city wameniambia huo mfumo hawatumii sasa nitawezaje kutoa hii pesa ....
Weka method ya bank iwe primary na sio posta. Cha kufanya nenda benki ingine hasa hizi za nje.

NB: Hakikisha unatumia acc ya dola au curency uliyo chagua kwenye adsense yako. Otherwise crdb watakufyeka makato mpaka ukome kama acc ya crdb ni ya tsh.
 
Back
Top Bottom