'You're playing with fire,' Russia warns Britain at U.N. Security Council meeting

Russia hana ubavu huo wa kumtisha Britain. Naamini wote wanazo Nuclear arsenals na kama wakipigana, Russia asitegemee ushindi kwa sababu Brits anao washirika wengi including USA. I guess hayo ni maneno ya kwenye kanga...
Kama aliweza kuwachagulia marekan Rais kwann asiweze kumyoosha Muingereza...vita ya sasa si silaha ni mbinu
 
Nyie mnapiga kelele tuu.
Us na Russia wao wanafahamiana sana mpaka wamewekeana mikataba ya anga. Yaani kama kuna anga inatumiwa kijeshi na mwenzake US au Russia hawezi kwenda kivita ktk anga hilo.
Ndo maana US hawezi kupiga makombora yake pale Syria, au kama vile Russia ilivoshindwa kuingilia vita ya Iraq, hiyo ni mikataba yao.
Pia wana mpaka mikataba ya kubadilishama Majasusi yaani wale wapelelezi wa kimataifa nchi moja inaweza kuomba kutoka kwa mwingine.
Au wanao Majasusi wanaoitwa Double Agent yaani anapeleleza pande zote mbili. Na hii ipo duniani kote
 
Russia hana ubavu huo wa kumtisha Britain. Naamini wote wanazo Nuclear arsenals na kama wakipigana, Russia asitegemee ushindi kwa sababu Brits anao washirika wengi including USA. I guess hayo ni maneno ya kwenye kanga...

Zipigwe mmoja mmoja sio kuchangia mande
 
Russia hana ubavu huo wa kumtisha Britain. Naamini wote wanazo Nuclear arsenals na kama wakipigana, Russia asitegemee ushindi kwa sababu Brits anao washirika wengi including USA. I guess hayo ni maneno ya kwenye kanga...
No research no right to speak...go library&read then come n comment
 
If u want to fight wit Russia make sure ur whole citizens are ready to day within a microsecond
 
Kwa hiyo nchi za magharibi haziwezi kupigana na Russia bila washiraka? kweli Russia noma.
Mbona urusi anajikomba kwa China, jana kiwanda chake cha silaha kimepigwa sanctions yeye nae kama super power aviwekee vikwazo viwanda vya marekani basi. Kwa taarifa yako ukiacha nuckear, drones zenye kupiga mabomu urusi hawana ujuzi huo wanatengeneza na kitumia za Israel under licence.
Nuclear moja tu inatosha we huoni Mbabe kim jong Un anavotingisha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom