Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

sidhan kama ni gbwhats....
mimi nina gbwhats na yowhats na hii whats ya kawaida zaid ya miaka miwili na hakuna shda.....line zangu zote 3 zina wosap ktk sim moja ya line 1
 
sidhan kama ni gbwhats....
mimi nina gbwhats na yowhats na hii whats ya kawaida zaid ya miaka miwili na hakuna shda.....line zangu zote 3 zina wosap ktk sim moja ya line 1
Shida ndio hiyo mkuuu! Una bahati sema hawajakugundua tu, siku wakigundua simu yako inatumia GBWhatsapp basi ni unakula ban bila ubishi.

Hizi GBWhatsapp hazipitiii officia secrity ya Google Play Store au Apple store ndio maana hata huzioni hko unadownload APK
 
Mi sio msumbufu kabisa kaka, nahisi itakuwa ni GBWhatsapp niliyokuwa nayo, kama kuna mtu anahizo whatsapp 2 basi aondoe moja wapo la sihyo tegemea ban muda si mrefu.
Hilo sio tatizo kabisa mimi ninazo 3
(BwhatsApp,GBwhatsApp na WhatsApp) na sipati tatizo lolote mwaka wa 2 sasa
 
Hilo sio tatizo kabisa mimi ninazo 3
(BwhatsApp,GBwhatsApp na WhatsApp) na sipati tatizo lolote mwaka wa 2 sasa
basi we kitukuu cha mtume, mi naendelea na Ban leo nimemaliza miezi miwili .................................
 
Leo katika pitapita nimekutana na habari ya Whatsapp kuban watumiaji wote wa WhatsApp zilizoboreshwa (Modified). WhatsApp hizi ni kama GB WhatApp na Yo WhatsApp.

Me binafsi ninekuwa mtumiaji mkubwa wa hizi Modified WhatsApp kwa sababu zina vitu vingi vya nyongeza ambavyo WhatsApp ya kawaida (official) haina.

Whatsapp za hawa Waarab zina vitu hivi.

1. Uwezo wa kutuma faili zenye ukubwa zaidi.

2. Kuficha chats

3. Kuendelea kuhifadhi jumbe zilizofutwa.

4. Media za whatsapp kutoonekana gallery.

5. Nijachokipenda zaidi ni kuficha Online status.

I hope Jamaa wa Yo whatsapp watapata ufumbuzi.

*****************************************


In order to use WhatsApp you basically have to download the app. You can’t use it on any other platform than the mobile app, and even if you try to use the desktop version the only way to access it is by scanning the barcode with the in-app camera. That hasn’t stopped people from using the messaging service through third party apps, however. This is an unofficial way to access the service and people basically take part in it because it allows them to incorporate other features that WhatsApp might not offer, as well as take advantage of the fact that they are using the service in an environment that isn’t controlled by the company itself.

Now if you try to use WhatsApp from a modded third party app, you will end up facing a temporary ban and you will have to contact WhatsApp in order to gain access to your account again. The important thing to realize here is that WhatsApp is doing this in order to get more people to use its official app. There is a monetary reason behind this, but the platform also wants to be able to prevent people from using the app for illegal activities.

"Unsupported apps, such as WhatsApp Plus and GB WhatsApp, are altered versions of WhatsApp. These unofficial apps are developed by third parties and violate our Terms of Service. WhatsApp doesn't support these third-party apps because we can't validate their security practices.", announced Whatsapp team on its FAQ page.

Source: DIGITAL WORLD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ha ha
ujue Haziwezi kufungiwa wala haziwezi kupotea maana whatsapp na hizi zingine hata haziendani ni vitu viwili tofauti
BUt kuna fm whatsapp ndio funika yaani hatari mnoo ina nyongeza kibao yaani
Inapokuwa Modified App si ni kuwa inafanya kazi kupitia Platform ya whatsapp? Au mimi naelewa tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo fm nitaijaribu nayo nione jamaaa
ha ha ha ha ha
ujue Haziwezi kufungiwa wala haziwezi kupotea maana whatsapp na hizi zingine hata haziendani ni vitu viwili tofauti
BUt kuna fm whatsapp ndio funika yaani hatari mnoo ina nyongeza kibao yaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom