Your help please

yujinah

Member
Feb 20, 2018
11
7
I Yujinah an applicant student for MSc at University of Antwerp in Belgium. Here I'm seeking for your help b'coz kuna vitu vichache vinanichanganya hasa kuhusu legalisation ya documents zng ili niweze kukamilisha process.

Mtanzania aliefanikiwa kujiunga na chuo hiki naomba tuwasiliane PM naimani nitapata ufumbuzi.
Thank you in advance
Kind regards
 
Kwa namna ulivyofanya uwasilishaji wa tatizo lako tegemea msaada hafifu sana sister/brother.
 
Kila la kheri.

Ungeuliza na ID yako ya zamani nadhani ingependeza zaidi maana ile huenda una watu ambao umezoeana nao humu.
 
Kila la kheri.

Ungeuliza na ID yako ya zamani nadhani ingependeza zaidi maana ile huenda una watu ambao umezoeana nao humu.
Mkuu kwa kupenda kufukua makaburi sikuwezi!! Utamfanya abadilishe mada
 
Huu uzi ni post yake ya kwanza.

Kajiunga jana na hii ID hapa JF
Hata mi nimeona hivyo, eti mwanzo kaanza na ung'eng'e ili watu wamuogope!! mwisho wa matamshi yake ya kile cha kuombea maji akarudi kwetu Bongo.
 
Hata mi nimeona hivyo, eti mwanzo kaanza na ung'eng'e ili watu wamuogope!! mwisho wa matamshi yake ya kile cha kuombea maji akarudi kwetu Bongo.
Angalia kashaanzisha uzi mwingine juu ya hili jambo.

Nadhani humo amesoma na kuona kaumbuka ndio kakimbilia kuanzisha uzi mwingine
 
Angalia kashaanzisha uzi mwingine juu ya hili jambo.

Nadhani ukafanya vituesoma na kuona kaumbuka ndio kakimbilia kuanzisha uzi mwingine
Kumsaidia mtu ni hiari tu wala haina maana kumsema kwa kejeli. Kama ukiona haijakupendeza ni vyema ukapotezea tu ndugu yng.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom