Young Dee kapotezwa na Young Lunya

Hao mayoung wote wako inspired na Young D...mambo aliyoyafanya D kweny game hao watoto bado hawajafanya...
#young Daresalama...
Shida ya watoto mmeanza kuskiza mziki juzi...Ndiomana D ana hits kibao lakin hao watoto wanaishia kufrestyle tu...
 
Si huyu anaye kula unga au kuna mwengine?

anabadilika mara hip pop mara trap
afu trap yenyewe haiwezi

labda nikuulize unamjua conboi.
Uzuri Young lunya katolewa na makini,sema makini wa zamani ila wa sasa anazingua
 
Namkubali Sana YOUNG LUNYA anapokua na MABANTU.

Kuna remix Mona anaimba,
"Ndi Mana Ni staki Dem...."
 
Namkubali Sana YOUNG LUNYA anapokua na MABANTU.

Kuna remix Mona anaimba,
"Ndi Mana Ni staki Dem...."
Ndio maana mi staki demu/
bora nipige puli ama nicheze game/
maana mademu wanachotaka fame/
anakupa mchezo afu anakuita shemu/
 
It took me allota time,kutafuta inspiration/
i'm chill outta town,nikifanya meditation/

nikiwaza situation,whats goin right now/
it 4am na watoto probably sleep now/
back in days when i was young i am not a kid anymore/
sasa hivi nimeshakuwa broo/i gotta be careful/

conboi or cannabino.
Unaitwaje huu mkono!?
 
Hao mayoung wote wako inspired na Young D...mambo aliyoyafanya D kweny game hao watoto bado hawajafanya...
#young Daresalama...
Shida ya watoto mmeanza kuskiza mziki juzi...Ndiomana D ana hits kibao lakin hao watoto wanaishia kufrestyle tu...
Na pia hzo wanazoziita freestyle sio.freestyle bali ni verse zilizoandikwa wanatuzingua ohhh freestyle,freestyle gani dakika 3😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom