Young D vs Young Killer

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Hawa madogo huleta mzozo kila majibishano yao yanapoanza wengine wanamkubali Young Dar es Salam na mtaa wa pili wanamsoma Young Killer Msodoki.

Tumalize mjadala humu humu ndani nani mkali?
 
Young killer ni level nyingine, huwezi kumlinganisha na muimba vigodoro Young D.

*Wewe dada njo kwangu cheza mwenyewe kama unahisi huko uliko unachezewa
 
Hivi unaweza kumfananisha Eminem na 2 chainz? Au Jay z na Rick ross?

Kuna kitu utagundua hapo mziki wao tofauti, naweza sema Young killer anafanya mziki wake LOCALLY wakati Young Dee anafanya mziki Internationally!

Kwa muktadha huo mimi naamini Young Dee ni msanii mbunifu zaidi ya Young killer!

Killer ni wakumpambanisha na kina Stamina sio Young Dee.
 
young dar es salama anajua,,, young killer ananjia moja kama mkojo yan habadilik ila young d anabadilika badilika ndivyo msanii inabid awe,,
 
Young d kaimba mini afananishwe Na killer au dada ameolewa aha aha hawafanani asee fidQ kila interview akiulizwa unamkubali nani kwenye hip pop game anakwambia killer
 
Mmh kujishaua huyu, nfyuu badala ya kumfagilia msukuma wako kutwa young D, ntokee apa

Msukuma wangu namfagiliaga mpaka anaumwaaaaa,halaf usimuingize kwenye ushabikii
Una habariiiiiiii tuzo tatuuuuuuu
 
Back
Top Bottom