Young Africans "Tusikubali" Mwakalebela anatupotosha juu ya "sakata la morrison"

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Mwakalebela na kundi lao miezi mitatu iliopita walituambia tunaenda "CAS" kuhakikisha kuwa Morrison anarudishwa yanga.Chaajabu Leo wamerudi Tff tena.

Hivi Leo mwakalebela amesahau njia ya kwenda CAS?

Hivi amesahau shutuma za msola na Bumbuli kuwa Tff imejaa wanasimba tuu?
 
Mwakalebela yuko sahihi kwenda tff coz ndo wana uwezo kisheria kufuta points za simba

Then zinaenda kwa yanga au
Kwani Nani alitoa kibali cha Morrison Kucheza kwenye ligi?

Sasa kama Hao ndio walitoa then how wazichukue point za simba
 
Kipindi kile walisema mkataba wa morison na yanga ulikuwa hauna mapungufu, leo wamasema kama mkataba kati ya yanga na morison ulikuwa na mapungufu basi mkataba wa simba na morison pia una mapungufu
sasa mkataba wa Simba na Morrison kuwa na mapungufu Yanga unawahusu nini
 
Mi naona wanazingua tu.

Kwani Morrison ni nani hasa mpaka asumbue watu? Seriously nimezichoka hizi kelele zao.

Ndondo Cup kuna wachezaji wakali kuliko hata huyo mjamaa, kwanini wasiende kusajili huko?

Mimi ni yanga damdam ila hili jambo linanikera mnoo mpaka mishipa ya kichwa inakaribia kupasuka!
 
Mwakalebela yuko sahihi kwenda tff coz ndo wana uwezo kisheria kufuta points za simba
Wafute point za simba kwa lipi wakati kesi mliwapelekea wao tff na maamuzi yametoka. Sie tunaka kusikia majibu ya Cas kwa kuwa mliwatangazie wanachama wenu kuwa mnaenda huko hamjaridhika na hukumu iliyotolewa na tff, cha kushangaza eti Leo mmerudi tena tff😅
 
kumbe ndugu zangu hamjashtuka tu kuhusu hili sakata? Mwakalebela anafanya hv ili kuwapoteza maboya mashabik wa yanga..za chini ya kapet ni kwamba kuna tetesi zilishasambaa hasa kwa washabiki kuhusu uwezo wa kocha wao.

Wanachama na mashabik wa utopolo wakawa wanataka afukuzwe, sasa marafyale mwenzangu mzee mwakalebela ikabid asuke bomu ili tu mashabiki wa utopolo wasahau habar za kutimua kocha, wadandie suala la morison..na amefanikiwa kuwaokota mandezi ya utopoloni
 
Mwakslebela na utopolo yake wameona october 18 inakaribia, wanaanza kusuks zengwe ili morrison asicheze kwenye derby maana atawakera sana! Utopolo wanaogopa nini..., inaonekana hiyo game wameshaipoteza nje na ndani ya uwanja wanatafuta ahueni ya kupunguza magoli!
 
Wangefuata ushauri wa Kikwete wa kuachana na Morrison. Hata kama usajili ni batili itawasaidia nini Yanga? Morrison hatorudi Yanga, na yaonekana anafuraha kuwa Simba. Na hata ukiwa batili, Simba hawamuhitaji kivile kwani wachezaji wa kumpita Morrison wako wengi Simba. Na ndio maana anaanzia bench.
Be careful what you wish for. Asije kuwapiga ha trick tarehe 18, October kwa hasira.
 
Back
Top Bottom