Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yassin anajituma sana yule kijana
Mimi ni simba lakini yassin na mukoko ndio wachezaji wako nje ya hapo huna timu
Yasin anajituma ila ana makosa mengi, na ndiyo maana timu ya taifa hawampang, siyo mpiga cross mzuri, angalia toka ligi ianze ana assist ngapi! hata Mukoko na yeye siku za karibun naona kama kiwango hakipo sawa, nahisi kashapata Malaya bongo.
 
Timu yetu ina wachezaji mizigo wengi sana.......anyway tuliipenda wenyewe, natoka hapa taifa kinyonge kabisa......
Mkuu timu bado mpya sana,kikubwa tuombee wachezaji muhimu tuendelee kuwa nao msimu ujao huku tukiachana na mizigo na kuleta wachezaji wazuri,imagine kuanzia ile Yanga ya kina ajibu,gadiel,makambo na juzi hapa morison,iwapo tungeendelea kuwa na hao wachezaji kipindi hiki wakaungana na kina mukoko,kisinda na saidoo at least tungekua na timu ya ubingwa,tuendelee kujenga timu huku tukizuia wachezaji waandamizi kuondoka
 
Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Hapo kwa Feisal uko serious au umeteleza!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa Feisal uko serious au umeteleza!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Feisal ameaminisha watu wengi sana kuwa ni mzuri. Lakini mie kama shabiki wa Football Feisal ana mapungufu makubwa sana hasa kwenye kuanzisha mashambulizi. Kwenye kuzuia sina shida naye. Na mara nyingi pasi zake ni za pembeni ambazo hazina madhara sana. I stand to be corrected.
 
Hapo kwa Feisal uko serious au umeteleza!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijateleza mkuu, Faisal ni mchezaji mzuri ila hana consistency, kama uliangalia vizuri game ya jana, alikuwa anacheza kama namba 10, wakati yeye ni namba 8, anapanda sana juu anaacha gape katikati, labda anakosa maelekezo sahihi kutoka kwa mwalim, ila ni miongon mwa vipaji vichache tulivyonavyo tanzania
 
Jana timu imecheza vizuri sema KMC nao wazuri,ukiangalia mechi za Nyuma baada ya Mapinduzi mpira wa Yanga ulikuwa mbovu kuliko mechi ya jana.
 
Sijateleza mkuu, Faisal ni mchezaji mzuri ila hana consistency, kama uliangalia vizuri game ya jana, alikuwa anacheza kama namba 10, wakati yeye ni namba 8, anapanda sana juu anaacha gape katikati, labda anakosa maelekezo sahihi kutoka kwa mwalim, ila ni miongon mwa vipaji vichache tulivyonavyo tanzania
Dakika 90 zinamshinda, sio yete tu ni tatizo kwa wachezaji wengi wa Yanga yaani muda unavyozidi kuyoyoma wanaonesha kuchoka hata km timu inahitaji ushindi.
 
Ielekee Mara ngapi dadangu ishatuua tayar had hapa Simba n bingwa lakn utamsikia BUMBULI sisi tunaongoza ligi s hao wengne mnaowasema

Jamaa hafiti kabisa ile nafas ile mil 5 ya faini Bora tungetengeneza chumba kimoja pale jangwani
Kuna saa nakuwa na wasiwasi walio mtari wa mbele pale Yanga si jabu ni mamluki pia na tunavyoteseka namna hii huko ndio furaha kwao.

Mi siku hizi hata siwasikilizagi hao kina Bumbuli kwani naona wananichosha tu huku kila siku tunazidi kuanguka lakini wakija mbele ya hadhara hizo kauli zao sasa waeza jiuliza wanatuonaje hawa. 🙁🙁
 
Kuna saa nakuwa na wasiwasi walio mtari wa mbele pale Yanga si jabu ni mamluki pia na tunavyoteseka namna hii huko ndio furaha kwao.

Mi siku hizi hata siwasikilizagi hao kina Bumbuli kwani naona wananichosha tu huku kila siku tunazidi kuanguka lakini wakija mbele ya hadhara hizo kauli zao sasa waeza jiuliza wanatuonaje hawa.
Hivi manara amelipa ile mil 100 sijui amabyo mwakalebelea alisema alitukanwa yeye na kuichafua brand ya yanga huko zanzbar wakati wa mapinduzi?

Hapo ndio ujue weled wa top leaders wa klabu yetu yaan mtu anaita press kwa vitu vya hovyo hovyo ambavyo n mipasho kwann wasimfungie tu maisha yule makamu wetu
 
Manara alipe wapi mana cha zaidi alimkejeli tu na kumuona hamnazo.

Pia sijawahi kumwelewa yule Mbaba kwa kweli ujue hadi kuna saa nikawa najisemea inakuwaje uongozi kila siku kukiwa na hizo press zao za hovyo huwa wanamsakzia yeye.

Na kama usemavyo hii inafanya ionekane walioko pale juu wote ni v i l a z a.
 
Back
Top Bottom