kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,321
Ha ha ha haHaka ka Hb Cha kireno kamekuja kwajili yakuidrand timu tu
Ha ha ha haHaka ka Hb Cha kireno kamekuja kwajili yakuidrand timu tu
Kalikuwa majeruhi ila kwa sasa kameanza kujiweka sawa kabla ya kurudi uwanjaniHaka ka Hb Cha kireno kamekuja kwajili yakuidrand timu tu
Unateseka ukiwa wapi ?Leo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa na butwaa kuona hivyo!Wakati huo Matokeo yakiwa Prison 1-0 Yanga na Yanga walikuwa wakishambulia sana!
Hii tabia si nzuri hasa kwa timu inayoshiriki ligi kuu na Club kubwa kama Yanga!Mnatia aibu kwakweli na hii sio mara ya kwanza ninyi kufanya hivyo!
Prison mnalingana nguvu maana kwenye mechi ya kwanza mlitoka sare tena kwenu!Sasa mnachoshangaa ni nini wao kuongoza kwa goli moja na ninyi mkiwa mnakosakosa?
Aibu kwenye michezo,mechi zinaonekana mpaka nje ya nchi halafu mnafanya ujinga!Shwain kabisa!
Siku nyingine mkagoma kuingilia lango la kuingia uwanjani,ninyi watu gani?Mbona mnaupa sana promo ushirikina?
Nawatakia kheri ya mwaka mpya!
Acheni ushamba,imani za kishirikina za nini soka la sasa!Unateseka ukiwa wapi ?
Wewe umejuaje Ki tendo alichofanya kaseke alikua anasaka ushirikina?Acheni ushamba,imani za kishirikina za nini soka la sasa!
Basi sawa,alipoukosa huo msumari akaenda kuutafuta kwenye taulo la golikipa kwa kulikung'uta kama anataka kuona nini kitaanguka!Wewe umejuaje Ki tendo alichofanya kaseke alikua anasaka ushirikina?
Nikikwambia alikua anatafuta msumari utapinga?
Wewe ni mchawi Kama wachawi wengine.
Kwahiyo kukung'uta taulo ni ushamba...Basi sawa,alipoukosa huo msumari akaenda kuutafuta kwenye taulo la golikipa kwa kulikung'uta kama anataka kuona nini kitaanguka!
Ushamba huo!
Mhhh! Utopolo buannnaTusifadhaike,hii sare ya Leo imeonyesha ni namna gani Yanga hii iko imara. Timu imeimarika sanaaa!! Ina ari ya juu sanaaaa. Simba bila kubebwa kama walivyosaidiwa dhidi ya KMC hata sasa wasingekuwa na uwezo Wa kufunua midomo yao.
Naamini kwa ubora Wa hii timu tunakwenda kutwaa ubingwa msimu huu!
Ninyi bora muendelee kubaki hapa hapa nchini maana mkienda kimataifa mtaenda kuitia aibu nchi!Kwahiyo kukung'uta taulo ni ushamba...
Kwanini unateseka kwa Pilipili usiyoila?
Do ur part in ur mikia fc team then it can be done sawa wazee wa "sisi tutakua mabingwa mara 4 mfululizo".
Nishajua naargue na kiumbe wa aina ganiNinyi bora muendelee kubaki hapa hapa nchini maana mkienda kimataifa mtaenda kuitia aibu nchi!
Hata mimi nilishakuelewa ni mtu wa namna gani?Kila la kheri,mpaka next time mtakapogoma kupitia mlango wa kuingilia uwanjani!Nishajua naargue na kiumbe wa aina gani
Good time and happy new year bro.
Unahesabu mechi hujaicheza?
Kwani yanga dhidi ya kmc haikubebwa? Penati fake mlipewa. Dhidi ya gwambina mlipigwa goli halali likakataliwa, dhidi ya simba faulo nje 18 mkapewa penati. Ni kujidanganya kuwa mechi zote yanga imeshinda au kudraw kwa haki.Tusifadhaike,hii sare ya Leo imeonyesha ni namna gani Yanga hii iko imara. Timu imeimarika sanaaa!! Ina ari ya juu sanaaaa. Simba bila kubebwa kama walivyosaidiwa dhidi ya KMC hata sasa wasingekuwa na uwezo Wa kufunua midomo yao.
Naamini kwa ubora Wa hii timu tunakwenda kutwaa ubingwa msimu huu!
Unateseka ukiwa maeneo gani?Leo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa na butwaa kuona hivyo!Wakati huo Matokeo yakiwa Prison 1-0 Yanga na Yanga walikuwa wakishambulia sana!
Hii tabia si nzuri hasa kwa timu inayoshiriki ligi kuu na Club kubwa kama Yanga!Mnatia aibu kwakweli na hii sio mara ya kwanza ninyi kufanya hivyo!
Prison mnalingana nguvu maana kwenye mechi ya kwanza mlitoka sare tena kwenu!Sasa mnachoshangaa ni nini wao kuongoza kwa goli moja na ninyi mkiwa mnakosakosa?
Aibu kwenye michezo,mechi zinaonekana mpaka nje ya nchi halafu mnafanya ujinga!Shwain kabisa!
Siku nyingine mkagoma kuingilia lango la kuingia uwanjani,ninyi watu gani?Mbona mnaupa sana promo ushirikina?
Nawatakia kheri ya mwaka mpya!
Niko nakesha nakula bia riverside hapaUnateseka ukiwa maeneo gani?
Kwani shida nini?Niko nakesha nakula bia riverside hapa
Muache ushirikina,tukio la leo limenikera mpaka gauge ikapungua kichwani,ikabidi niboost na kveve!Kwani shida nini?
Mkuu tukio lipi la ushirikina ilikuaje?Muache ushirikina,tukio la leo limenikera mpaka gauge ikapungua kichwani,ikabidi niboost na kveve!