Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Walinunua bia wakajiona wajaanja

Sawa watu wamenunua bar kabisa

Wajichague nani na nani waje kuwa wahudumu
 
Yaani nyani ni nyani tu,
Washapozwa tayari washasahau kama walidanganywa na hawa GSM,

WASHASAHAU

UMBWA FC
 
Kiukweli simba hii taarifa ya Senzo imewauma ukiangalia michango yao unaona kabisa wanagugumia maumivu..
Simba mjifunze kwamba mkubwa mkubwa tu.
 
Ni zamu ya mioyo yao kufyatuka sasa. 😀😀
Tunaenda kwenye mabadiliko ya kisawa sawa,senzo ana vigezo vyote vya kutupeleka kwenye mabadiliko na ndio maana tumemchukua kufuata maelekezo ya la liga CEO wa aina gani tuwe nae
Kuna vitu vingi simba vipo ndo maana senzo alionekana wa maana.
Maana mfumo ulikuwa unambeba.
Hapo yanga bado wenyewe wana mfumo wa kuchagua mwenyekiti wao kwa kura ni wazi msola atabaki kuwa ndie mwenye maamuzi.
Msola hawezi kuwa chini ya senzo na senzo hawezi kukubali kuwa chini ya msola...

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yanga inapoelekea iwapo mchakato wao utafanikiwa basi utakua mfano wa kuigwa,nyie mtaendelea na ahadi ya mabadiliko ya b 20 while wenzenu watawekeza zaidi ya b 70,na iko ndicho mo hataki hata kukisikia na anatumia kila ila kugombanisha wanachama na gsm ili gsm asuse,safari hii asusi mtu hadi kieleweke
 
Yanga hongereni sana Watani wangu,
Hakika mmefanya jambo kubwa sana kumchukua Senzo,, hili ni pigo kubwa sana kwetu,, mmetufunga mdomo na kiukweli tumepoa,,

japo kuna baadhi ya watu watanipinga ila kiukweli mmetuvuruga vchwa vinawaka moto,, nabaki na maswali mengi sana,, nn kimepelekea hiki? kama kudai bonus kwa Senzo ni dhambi! nn sasa motisha yake?

Mpeni nafasi Senzo hakika mtafaidika sana,, ni mtu mwenye CV kubwa Africa kulingana na Uweledi wake.

naskia pia mnamnyakua Chama, dah,

'Jamani kupenda mpira sana ni hatari kwa afya yako'

nlivoona tu Mwina Kaduguda amewekwa simba nikapata hofu sana dah!

sina hamu na ushabiki huu ni uzwazwa jaman,
Respect mkuu kwa kuongea fact, ukweli utatuweka huru.. Ndugu zako wengine maneno mengi ila huu ndio uhalisia, sisemi tu kwa kua amekuja Yanga hata angeenda sehemu nyingine bado huu ungebaki kua uhalisia..
 
Shadeeya wameanzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi nyumba ya vioo.....tunamafaili ya timu nzima hadi mshahara wa Hajji........tumeanza na huyu😂😂
FB_IMG_1597007376451.jpg
 
Nani ataweka hizo bilioni 70?..
Yaani ukapande mbegu kwenye jangwa?
UTEGEMEE MAVUNO?

Back
Top Bottom