Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Utopolo FC

Screenshot_20200630-120156_WhatsApp.jpg
 
Kuna watu kesho watacheza huku wanaogopa picha wanayoiona mbele yao hivyo kwa hofu itabidi wafungwe tu ili wakiepuke kikombe hicho
Mkuu timu yetu haina muunganiko kabisa iko hovyo sana,yaani unaangalia mechi Kagera wako pungufu Ila bado possession ipo kwao,inasikitisha sana
 
Pamoja na kwamba jamaa yuko overrated, hili sakata linaniambia vitu viwili.

Uongozi hautekelezi majukumu yake ikiwemo ahadi ya mkataba kama ilivyotuaminisha mwanzoni.

Au jamaa anashauriwa vibaya kiasi kwamba anagoma kukaa meza ya makubaliano ili apate kuondoka.

Yote kwa yote, haileti afya kwenye soka letu.
 
Mkuu huyu Morison aliyafanya Jana usiku pale Regency hotel acha tu
Apande tu ndege aende huko SA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana, nadhani kuna watu wako nyuma ya hili swala lake.

Ngoja tuone ataishia wapi, binafsi naona kama hana kiwango cha kuwaendesha hivi Yanga.
Hahahaha, huyu mjanja mjanja, tuliwaonya humu

Uzuri alkuja wkt Yanga haina MTU wa maana ,sasa kavimba

Lkn ndio mwisho wake, washamalizana nae toka Jana Usiku ,hutomsikia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom