Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20190905_053432.jpg
 
Yanga msimu huu tuna washambuliaji 'butu' mpaka inatia huruma! Hakuna cha Sadney, siyo Balinya, siyo Molinga, sijui Kalengo!

Ni wazito kiasi cha kushindwa hata kukimbia hatua mbili tatu kuwapunguza walinzi wa timu pinzani! Sijui ugonjwa huu utamalizika lini. Tutamkumbuka sana Makambo. Kwa kweli mwalimu hakustahili kumuuza.
 
Wasi wasi wako kaka...Tuna Team nzuri sana kuliko Mikia.....wasikutishe
Yanga msimu huu tuna washambuliaji 'butu' mpaka inatia huruma! Hakuna cha Sadney, siyo Balinya, siyo Molinga, sijui Kalengo!

Ni wazito kiasi cha kushindwa hata kukimbia hatua mbili tatu kuwapunguza walinzi wa timu pinzani! Sijui ugonjwa huu utamalizika lini. Tutamkumbuka sana Makambo. Kwa kweli mwalimu hakustahili kumuuza.
 
Tuna kikosi kizur sana ukiangalia 90% ya wachezaji ni wapya isipokuwa Boxer na Yondani kwa Wachezaji wa 1st 11. Bado kuna muda wa kurekebisha makosa katika mechi zinazokuja, ondoeni hofu Mabaharia baharia huwa hakat tamaa.
 
Ndio ujue kwamba munatukubali
Tuwacheni na mechi yetu ya kirafiki💃💃💃
Shadeeya bana hiyo sio mechi ya kirafiki ni mechi ya kindugu kabisaa, yaani kama alivyoimba babu Seya "baba na mwana" akiwa na Papii Kocha

Halafu hilo gauni lako jekundu, dah! Alijisemea mwarabu mmoja "Mimi mabata ushungu Wallah"
 
Ikaamuliwa kiitifaki pia kwamba na kibonge mafuta Molinga naye asafishe nyota kwa kuaxhiwa afunge magoli mawili ikiwa ni mkakati wa kupoza hasira za mashabiki dhidi yake na dhidi ya Papa Zahera anaeonekana kuwauzia mbuzi kwenye gunia
20190911_103046.jpg
Karibu sana baadae nakuletea Kipensi na wewe. 🙈🙈
 
Back
Top Bottom