Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mpira hauna ugenini wala nyumbani baka alishinda tatu akapigwa nne

Kwahyo usikalili katika soka hatuna formula ya ushind unapigwa hata kwako

Kwahyo Simba kupata droo kule na ud songo ndio unategemea atashinda kwa urahis hapa taifa unajua timu pinzani inakuja na plan gani?¿??????
Natamani Mkia warudie kusoma hizi Post.
 

Congratulation
Dar Young Africans Sc
kwa mchezo wa Jana kupata sare ya 1-1 home sio matokeo rafiki kwetu Ila timu inampira mzuri mno I believe. Away tutaenda kuwashangaza watu coz ninaimani sikuiyo tutaenda kupindua meza kibabe kama tukicheza mpira kama wa Jana tulio cheza second half.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Nimekuelewa sana Mkuu kwani TUMEPINDUA MEZA KIBABE AISEE!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom