Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Usijali na jumanne uje kuchangamsha kule kwenye Uzi wenu.
Ki ukweli hizi timu mi sio mshabik mkuu huwa napenda kutia neno tu mi ni mshabik wa prison ya mbeya kidogo mbeya city na manchester united sijawahi kuwa na moyo wa kushabikia yanga au simba toka naanza kuujua mpira huwa napenda kutania tu
 
Ki ukweli hizi timu mi sio mshabik mkuu huwa napenda kutia neno tu mi ni mshabik wa prison ya mbeya kidogo mbeya city na manchester united sijawahi kuwa na moyo wa kushabikia yanga au simba toka naanza kuujia mpira huwa napenda kutania tu
Hahahaaa. Sema ukweli bana Mkuu sababu umekuja na gia ya Kimkia Mkia kabisaaa. 😎😎
 

Similar Discussions

97 Reactions
Reply
Back
Top Bottom